Acts 27:18-19

18 aTulikuwa tunapigwa na dhoruba kwa nguvu, kiasi kwamba kesho yake walianza kutupa shehena toka melini. 19 bSiku ya tatu, wakatupa vyombo vya meli baharini kwa mikono yao wenyewe.
Copyright information for SwhKC